Mashine Ya Tambi

Sh 27,000

Mashine ya Tambi – rahisi kutumia, imara, na bora kwa kutengeneza tambi nyumbani au kwa biashara ndogo. Inapatikana kwa mikono au ya umeme.

43 in stock

Category:

Mashine ya kutengeneza tambi hivi  ni vifaa bora kwa wapishi wa nyumbani na biashara ndogo ndogo wanaotaka kutengeneza tambi safi, bora na za haraka. Kwa muundo imara na rahisi kutumia, mashine hii hukusaidia kuunda tambi zenye umbo na unene unaotakiwa, kwa muda mfupi bila kuchoka.

Inafaa kwa matumizi ya jikoni nyumbani au kwenye migahawa midogo. Mashine hii ni ya mikono

Vipengele Muhimu:
– Inatengeneza tambi haraka na kwa urahisi
– Muundo wa kudumu na thabiti
– Rahisi kusafisha na kuhifadhi
– Inafaa kwa tambi ndefu, fupi au zenye maumbo tofauti
– Inapatikana kwa toleo la mikono au la umeme
– Imetengenezwa kwa chuma ngumu plastiki ngumu

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mashine Ya Tambi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *